Huyu Hapa DEMU Mpya wa Mwanamuziki Barnaba...Wadau Watia Neno....Wamkumbuka Mama Steve

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii Barnaba Classic Akiwa Na Mchumba Wake Mpya hii ni baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na mchumba baada ya kuachana na Mama watoto wake Mama Steve

Soma Comments za Wadau huku insta sasa:

happynelson1954
Barnaba alikuwa na demu mkali yule mzazi mwenzie sijui alimfanyia kitu gani mpaka kaolewa na mtu mwingine


wamichafano
Wanawake sijui wanatupa nn wanaume asee😂😂

amini867
Huyu mchumba wake Ni mchaga nn
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad