Je Alichofanya Sallam SK kwa Harmonize ni Sawa? Wadau Wamfungukia Harmonize...."Umeyataka Mwenyewe"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkali @beny_btz @beny_btz Ameibuka Mitandaoni na Kudai kuwa kitendo Cha Meneja wa Diamond SALLAM SK kukataa kupeana mkono na Harmonize Siku ya Jana katika Mazishi ya Mke wa Babutale ( Marehemu Shamsa Tale) ni sawa kwani Ameonesha Kuwa Yeye sio Mnafiki na Kwamba kama wanatofauti ilipaswa iwe imemalizika kabla ya msiba... Hivyo anaona Sallam kafanya SAWA TU bila kujali msiba

Mwingine ameandika haya hapa chini:


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio Sawa wala Si Uungwana.huyu Msri Lanka hajui Dini, WAla Mila. A desturi Za WaTanzania.

    Alicho kifanya Rajabu NI Uungwana na utu kwa mtu alifanya nae kazi na Dini yetu inaelekeza hivyo KATIKA kumsitiri maiti. NI Lazima Amuombe Radhi Rajabu.

    Isitoshe mwenye msiba NI Tale tale nyie KILA Mendes CHUKI ya nini? Kama kutusua ametusua kwa Juhudi. A kuituma kwake au mlikuwa mnataka muenxelee kumyonya?? Harmo NI Brand TOSHA.

    ReplyDelete
  2. huyo salam hana usilamu wowote muislam hakatai mkono wa muislam mwenzake halafu HARMONISE amtafutie lawama salam Mendes kwa muhimu gani alionayo salam Mendes jamani mtu kafanya kazi na nyinyi kaamua kuondoka kuna ubaya gani au kwa vile hamuzipati tena munaka mukidhulumu watt wa wenzenu ache ujinga na utoto gani kafanya ungwana huyo Mendes arudi kwao kitu kubwa jinga kabisa wanyonyenu hao mabwwge wakiobakia

    ReplyDelete

Top Post Ad