Kenya waandamana kupinga mauaji ya George Floyd

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Kutoka Kenya yamefanyika maandamano katika Ubalozi wa Marekani jana jumanne, Watu wakipaza sauti kupinga mauaji ya George Floyd aliyefariki akiwa mikononi mwa Polisi Marekani. 

"Floyd alifariki akiwa mikononi mwa Polisi wenu, maisha ya Watu weusi yana thamani Marekani na Afrika kwa ujumla, tumeandamana kuonesha hatukubaliani na kilichofanywa"
OPEN IN BROWSER
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ningetaraji nchi zote za kiafrica kufanya hivyo na si za western chache pekee!!

    ReplyDelete
  2. Wale wa haki za binadamu vipi?! Mbona kimyaaa?
    Su hili halina mvuto?

    ReplyDelete

Top Post Ad