Maonesho ya Saba Saba..Huu Ndio Utaratibu Mpya wa Maonesho ya Sabasaba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva amezitaka Taasisi za Serikali na za binafsi kufanya ujenzi wa mabanda yao usiku na mchana ili kukamilisha na kuanza kutoa huduma kuelekea maonesho ya Sabasaba

Ametoa rai hiyo mara baada ya kufanya ukaguzi katika viwanja vya maonesho ya 44 ya biashara SabaSaba ambapo pia amepata nafasi ya kuzindua kadi maalum itakayotumika katika maonesho hayo kwenye kuingia magetini na hata kwenye manunuzi ya bidhaaa mbalimbali endapo mwananchi atavutiwa kufanya hivyo.

Akiwa katika ziara hiyo ya kukagua mabanda mbalimbali likaibuka sakata la wananchi wajasiriamali ambao wamedai kuwepo kwa  ubaguzi katika utolewaji wa mabanda.

Maonesho hayo ya SabaSaba yanatarajiwa kuanza Julai Mosi na kuhitimishwa Julai 13 yakihusisha ushiriki wa mataifa mbalimbali ambapo Watanzania wameaswa kutumia fursa hiyo kukua kiuchumi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad