Mjumbe kamati kuu CHADEMA ajivua vyeo na kujiunga CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


ud


Ndugu Moses Matiko Misiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Mkoa wa Mara na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amejivua vyeo vyake vyote ndani ya Chama hicho na kuomba kujiunga na CCM. 

Aidha Ndugu Moses Matiko Misiwa ameeleza sababu za kuachana na Chama chake,amesema chama hicho kwa sasa  kimepoteza muelekeo, Hivyo Uongozi wa dhati na wenye matokeo chanya wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. John Pombe Joseph Magufuli na Uimara wa CCM kwa sasa katika kuwatumikia Watanzania ndio umemkuna zaidi na hatimaye kuchukua uamuzi alioufanya. 

Ndugu Matiko amepokelewa na Ndugu Humphrey Polepole na kumhakikishia kuwa amefanya chaguo sahihi kwa wakati sahihi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Faru Joni , Heche kaumia..!!!

    Inakula kwenu na Hasara Juu.

    Naniatakuwa mfunga milago ya Saccoz.
    Maduhuli na Posho Zinakatika na Halima
    na kina esta wanayoyoma, Unacheza na
    Washkaji.?

    Poleni, Pipo!! Pwaaa!!! Mzigwa 2020

    ReplyDelete

Top Post Ad