Musukuma "Mbowe Alikunywa Faru John, Nitamtibu Kienyeji Asipopona Nivuliwe Ubunge" – Video

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Mbunge wa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Job Ndugai kutoa taarifa kuwa Mh. Mbowe ambaye alidaiwa kuvamiwa na watu watatu na kuvunjwa mguu kuwa alituma madaktari wake kumpima Mbowe Hospitalini na kukutwa alilewa chakari.



Mbunge wa Geita Joseph Kasheku Musukuma ameomba Mh. Freeman Mbowe arudishwe Dodoma yeye atamjibu kienyeji na kudai kwamba asipopona ndani ya siku 3 avuliwe Ubunge wake.

Mbali na hilo Musukuma ameongeza kuwa Mbowe aikunywa pombe aina ya Faru John na watu aliokuwa nao anawafahamu. VIDEO:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh Msukuma, Hawa ni Wasanii Unda glaund

    Huu ni mtiririko wa Ngonjera zao.

    Let us Enjoy the show...!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atarudi Jijini Dodoma kesho,
      kuja kutoa ushirikiano katika
      upelelezi unao Endelea .

      Kamada Muroto anayo timu kabambe
      inaendelea na madai ya kinacho
      itwa UVAMIZI/ USAMBULIZI.

      Na HARUFU ZASIZO JULIKANA MPAKA
      KUMALIZA AIRFLESHNA NTYUKA.

      Delete

Top Post Ad