Sakata la Morrison..Yanga Yaishitaki Simba TFF Kwa Kumshawishi Morrison Kuhamia Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uongozi wa klabu ya Yanga umepeleka rasmi malalamiko kwa Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ukidai Simba inamshawishi winga wake, Bernard Morrison kujiunga nayo kinyume cha sheria
-
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Wakili Simon Patrick amesema klabu haiwezi kufumbia macho maelezo yaliyotolewa na winga huyo ambaye ameweka wazi kila kilichotokea na kuongeza kwamba tayari ushahidi umekusanywa kwa ajili ya suala hilo ikiwa ni pamoja na kumhoji mchezaji na vielelezo vingine vinavyohusiana
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad