Diamond “Hakuna Uchaguzi Mwepesi Kama Wa Mwaka Huu”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamuzki Naseeb Abdul (Diamond) amesema kuwa hakuna uchaguzi mwepesi kwenye historia ya nchi hii kama uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mnamo mwezi oktoba mwaka huu.

Akizungumza wakati  akitumbuiza kwenye hafla ndogo iliyoandaliwa na rais John Magufuli kwa wajumbe wa mkutano mkuu kutembelea kwenye eneo la ikulu ya Chamwino jijini  Dodoma.

“Mimi nilingundua mapema ndo maana nilianza kumuimba rais Magufuli kabla hata ya uchaguzi maan anajivunia na najua hakuna uchanguzi mwepesi kama huu wa mwaka huu yaani mapema tu tunashinda ” amesema Diamond.

Mapema jana wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho kilimchangua Dkt John Magufuli na Dkt .Hussen Mwinyi kuwakilisha chama hicho kwenye uchaguzi mkuuu wa mwezi oktoba.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad