ESMA: Sijutii Kuolewa Mke wa Tatu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



DADA wa msanii mkubwa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Esma Khan, amesema kuwa katika vitu ambavyo hajutii kuvifanya maishani mwake ni yeye kuolewa mke wa tatu.

Akipiga stori na Risasi Jumamosi, mwanamama huyo alieleza kwamba, aliamua kufanya hivyo kwa sababu alimpenda kweli mume wake na sio kwamba alifanya kwa ajili ya kumkomoa mtu mwingine, hivyo watu wamuache na maisha yake.

“Jamani haya ni maisha yangu, na maamuzi nilifanya mwenyewe, sikufanya ili nimkomoe mtu. Nampenda sana mume wangu, watu wajue hilo. Halafu sioni tatizo lolote mimi kuolewa mke wa tatu kwa sababu dini yangu inaruhusu,” alisema Esma
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad