Rado Afichua Siri Nzito ya Wolper Kutopata Mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MSANII wa Bongo muvi, Simon Mwapagata ‘Rado’ amesema kuwa licha ya yeye kuingia kwenye ndoa, lakini anayo siri kubwa ya msanii wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper ambayo amemwambia kipindi wapo kwenye uhusiano.

Akizungumza na gazeti la Risasi Jumamosi, Rado ambaye amefunga ndoa wiki chache zilizopita, amesema kuwa kipindi akiwa na uhusiano na Wolper, mwanadada huyo aliwahi kumwambia Rado bila yeye hawezi kuwa na mtoto milele.

“Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na Wolper, na kitu ambacho aliniambia na huwa nakifikiria na pia kinanishangaza hadi leo, ni kwamba hawezi kupata mtoto bila mimi,” alisema Rado.

Stori: Khadija Bakari

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad