Ujio wa Msanii Baba Levo Unatufundisha Tuwe na Subira Kusaka Mafanikio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu jamaa nilianza kumjua enzi za Wanaume Halisi akiwa na Juma Nature miaka ile. Mara ya kwanza kumsikia niliona kipaji ndani yake,nikajisemea kuna watu hawastahili kuwa walipo.

Nilimuona kama ni mtu mwenye kipaji halisi na sio cha kulazimisha. Niliona ni mtu mwenye sauti ya kufanya mziki wowote iwe Rap au hata kuimba. Nikajiuliza mbona hafahamiki? Mbona media hazioni hiki kipaji badala yake wasanii wa hovyo tu wanapewa airtime.

Nimekuja kumfuatilia mwaka huu nikagundua ujio wake umeshamiri sana. Nimekuta ameanza kuwa maarufu kwenye sanaa ya mziki na ucheshi. Kwa sasa ni mmoja kati ya wasanii wanaofanyiwa interview na media nyingi sana.Ni moja kati ya watu ambao clips zao hazikosi kwenye mitandao.

Hongera sana Baba Levo.

Hoja yangu sio kusifia Baba Levo bali amekuwa kielelezo cha watu kutokukata tamaa mapema. Katika kutafuta mafanikio ni vyema tukapambana mpaka tone la mwisho. Mafanikio hayaji ghafla tu kama upepo. Kuna milima na mabonde. Hata ukiyapata bado utaihitaji subira kwenda zaidi na zaidi.

VIDEO:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad