Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Nicole: Mimi Kimbilio la Harmo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
MREMBO mwenye umbo matata Bongo na video vixen, Nicole Joyce Berry ‘Nicolejoyberry’ amefunguka kuwa yeye ni kimbilio la Staa wa Bongofleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ pindi anapoachwa na kuwa mpweke.

 

Wawili hao ambao mwaka jana walidaiwa kutoka kimapenzi, licha ya kusita kukanusha madai hayo, penzi lao linadaiwa kuchipua baada ya Harmo kumshirikisha Nicole katika ngoma yake ya ‘Bedroom’ ambayo mrembo huyo alicheza kama Video vixen.

 

Mwanadada huyo aliyeiteka mitandao ya kijamii kwa mapicha picha ya mitego kimahaba, amethibitisha hilo kupitia insta story yake baada ya kuulizwa na shabiki mmoja iwapo anadate na Harmo.

 

“Mimi ni kimbilio lake Harmonize akiachwa na watoto hadi wazee, ni rafiki yangu ambaye tunaheshimiana, tunatukanana na kupendana… ni baba wa mwanangu, ni kaka wa wadogo zangu” alijibu Nicole.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments