Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Wema Sepetu atoa Kauli Kuhusu Wanaomsema Kuhusu Matangazo ya Waganga "Msinifuatilie"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Nyota maarufu wa filamu nchini Wema Sepetu ameomba asifuatiliwe kama ambavyo yeye hamfuatilii mtu.

Wema amesema hayo jana kwa msisitizo akizungumza na waaandishi wa habari kwenye part ya Birthday ya msanii #GigyMoney, hii ni baada watu mbalimbali kumnanga kupita kiasi kufuatia kupost matangazo ya Waganga wa Kienyeji kwenye ukurasa wake wa instagram.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments