Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Dayna Nyange Afunguka Wasanii Watanzania Wanaipigwa Nigeria Rosa Ree NdaniMwamamama anayefanya poa kwenye Bongo Fleva na ngoma yake ya Elo, Dayna Nyange amefunguka bila unafiki juu ya ngoma za wasanii wa Bongo zinazosikika nchini Nigeria.

Katika mahojiano maalum na +255 Global Radio, Dayna amesema kuwa, kwa kipindi kirefu alichokaa nchini humo na kufanikiwa kufanya kolabo na Davido alibahatika kusikia ngoma za wasanii wachache kama Rayvanny, Diamond Platnumz, Rosa Ree na Harmonize kwa mbali.

Dayna anasema kuwa, Wanigeria wanapenda mno kusikiliza ngoma za kwao, lakini kwa sasa wanazidiwa na zile za wasanii wa Afrika Kusini na Kenya ambazo zinaingiliana na za wasanii wa Kitanzania.

Stori na Sifael Paul | GPL

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments