Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rayvanny, Paula Mahaba live Bila Chenga...Sasa Rasmi Kajala ni Mama MkweMAMBO yamekwiva… hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa Bongo Fleva, Rayvanny na mpenzi wake ambaye ni mtoto wa staa wa Bongo Movie, Kajala Masanja aitwaye Paula wameonekana kwenye mahaba na bashasha la aina yake wakati wa hafla ya kusherehekea kumbukumbuku ya siku ya kuzaliwa kwa Paula.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments