Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Vanessa MDEE Ajifungua Mtoto..Mwenyewe Afunguka Haya....Baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii wa Bongo Fleva @vanessamdee amepata mtoto kutokana na kuwa na ujauzito Kupitia ukurasa wake wa Instagram @vanessamdee amekanusha na kusema muache kupanikisha watu kuwa amejifungua na kuwauliza kuwa aliyewaambia kuwa yeye amejifungua ni nani..?#

Lakini rafiki yake wa Muda mrefu Aika Navykenzo amepigilia msumari kwa kucomment "ITS A BOY" katika Picha aliyopiga na Rotimi HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments