.

8/02/2021

Ruby Atoboa Siri Kumbe Kusah Kimoja tu Chali
Hii inaitwa butter trade yani bidhaa kwa bidhaa,chuma kwa chuma, X kwa X ni baada ya mwanadada na msanii wa bongo flava @iamrubyafrica kuyaweka hadharani mahaba yake kwa dansa nguli wa Diamond Platnumz, @moseiyobo ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano na muigizaji @auntyezekiel na sasa yupo penzini na @_kusah_ ambaye aliwahi kuwa penzini na Ruby.

Maneno ya Ruby yana utata mkubwa na inaaminikia yameelekezwa kwa aliyekuwa mpenzi wake na mzazi mwenzie, Kusah.

Tafsiri yake ni kuwa jamaa kimoko chalii maana ziara mbili tu alikuwa anaomba boosta😂😂

Sema heshimu sana anayekuhifadhia siri zako ,siku akiamua dondosha moja tu hoi😂

Usiache kufollow @sajomedia kwa taarifa zaidi za burudani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger