Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres


NEW YORK, MAREKANI: Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres

Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ikiwemo athari za kiuchumi na kijamii za #COVID19, utekelezaji ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) pamoja na Ulinzi na Usalama Barani Afrika

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments