Rayvanny Atangaza Kumtambulisha Msanii wake Mpya Tarehe 24 Sept, Harmonize Nae Kumtambulisha Huyu Siku Hiyo Hiyoo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Huenda siku ya September 24, ikawa siku nzuri kimuziki baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Rayvanny kutangaza kumtambulisha msanii wake wa kwanza.

Ndani ya label yake ya Next Level Music siku moja /tarehe moja na tarehe iliyo pangwa kuachiwa rasmi kwa mwanamuziki Cheed kutoka KondeGang.

Ikiwa ni masaa kadhaa tangu KondeGang nao watangaze tarehe hiyo hiyo 24 Sep, kumuachia rasmi msanii wake Cheed ambae pia ametoka record label ya kings music ya AliKiba kabla ya kujiunga na konde gang.

So tusubiri kumwona msanii mpya kutoka NLM na ujio rasmi wa Cheed kutoka KondeGang katika siku moja kWa pamoja.

Neno moja kwa Cheed tukiwa tunasubiria ujio wake mpya⁉️
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad