Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mwandishi Gabriel Kandonga Afariki kwa AjaliMwandishi wa ITV na Radio one mkoa wa Songwe,Gabriel Kandonga amefariki kwa ajali alfajiri ya leo akiwa njiani kuungana na kamati ya bunge inayoshughulikia masuala ya Ukimwi na Dawa za Kulevya ambayo inaendelea na ziara yake wilayani Songwe

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments