Ticker

6/recent/ticker-posts


 

CCM yataka 'oparesheni ondoa bodaboda' isitishwe

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
CCM yataka 'oparesheni ondoa bodaboda' isitishwe
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kauli ya marufuku ya waendesha bodaboda na bajaji kutofika mjini kwa jiji la Dar es Salaam, si kauli mwafaka na imetolewa bila taratibu za msingi.

Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamidu amesema kuwa maamuzi yatakayotolewa dhidi ya waandesha bodaboda yanapaswa kugusa maslahi ya umma.

“Chama kinaagiza oparesheni hiyo isitishwe mara moja.”amesema Shaka Hamidu.

Aidha Kamishna Msaidizi wa Polisi ambaye ni Mkuu wa Usalama Barabarani, Abdi Issango alisema Ifikapo Septemba 11, 2021 waendesha bodaboda na bajaji marufuku kuingia mjini isipokua bajaji za walemavu

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments