Fahyma Acharuka "Sitaki Kusikia Mambo ya Paula na Msiniulize"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



BABY mama wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Shaban Mwakyusa almaarufu Rayvanny, Faima Msenga au Fahyma ametoa msimamo wake kwamba hataki kuulizwa au kutakiwa kuzungumzia uhusiano wa jamaa huyo na mpenzi wake mpya, Paula Kajala.


Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA, Fahyma ambaye ni mwanamitindo wa kimataifa anasema kuwa, atazungumza juu ya ishu hiyo pale atakapokuwa tayari.


Fahyma anasema kuwa, yeye siyo mtu wa madrama hivyo anaamini mashabiki wake wanahitaji kusikia zaidi kazi zake kuliko hayo mengine hivyo anawaomba waendelee kumsapoti kwenye kazi zake.

 

“No comment, sitaki kusikia au kuzungumzia hayo mambo (ya Paula) kabisa mpaka pale nitakapokuwa tayari mimi mwenyewe kwa sababu kwanza mimi siyo mtu wa drama.

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza HAPA

“Ninachowaomba mashabiki wangu waendelee kusapoti biashara zangu na kazi zangu zote kwa jumla,” anasema Fahyma ambaye amezaa na Rayvanny mtoto mmoja wa kiume aitwaye Jaydany kabla ya jamaa huyo kunyakuliwa na Paula.

STORI; MEMORISE RICHARD, DAR

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad