Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Makubwa..Superman Atakuwa Mpenzi wa Jinsia Moja Katika Katuni yake Mpya

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


DC Comics imetangaza kuwa mhusika mpya wa Superman, Jon Kent, anahusika katika mapenzi ya jinsia moja.


Katika kitabu chake kijacho cha katuni , ambacho kinatarajiwa kuzinduliwa mwezi Novemba, Jon atapewa taswira ya kuwa mpenzi wa jinsia moja akiwa na rafiki yake Jay Nakamura.


DC Comics imetoa tangazo hilo katika siku ya kitaifa ya uhamasishaji juu ya uelewa kuhusu wapenzi wa jinsia moja nchini Marekani.


Watoto wanapenda kutazama vipindi vya katuni kutoka ughaibuni …

1.) Unalizungumziaje hili

2.) Utawaruhusu watoto wako kuitazama toleo hilo la Superman ?

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments