Nareel "Niko na AIKA kwa Miaka 13 na Sijawahi Mcheat"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Achana na ule uchumba sugu aliopitia muigizaji @elizabethmichaelofficial kwa Majizzo kabla ya wawili hao kufunga ndoa mwanzoni mwa mwaka huu. Chukua hii kutoka kwa couple inayoaminika ndio Couple yenye mvuto zaidi kwa watu wengi, yani @aikanavykenzo na @nahreel ,wao wana miaka 13 kwenye uchumba wao hadi sasa wakibarikiwa watoto wawili lakini bado hawajafunga ndoa.

Kwenye @thejointtz ya Dizzim Tv, Nahreel amedai amedumu na Aika kwa miaka 13 na kwa muda wote huo hajawahi kumcheat mama watoto wake. Nahreel aliibukia kwenye studio za Kama kawa Record kama producer kabla hajatimkia India kwaajili ya Masomo.

Jina lake lilianza kupata umaarufu zaidi kwa upande wa uproducer baada ya kutengeneza wimbo ambao ulihit nchini (2009/10), wimbo wa Izzo Business unaoitwa Ridhiwani.

Aika na Nahreel Wakiwa kama Couple,wamefanya mengi,kwanza kuanzisha kundi la Navy Kenzo baada ya kundi walilokuwa mwanzo (Pah one) kuvunjika, kuanzisha Record label(The industry) ambayo imeibua mastaa kama Rosa Ree na Brian Simba, timu ya mpira,mjengo hatari ambao gharama yake ni Tsh 700M+, hits kibao kama kamatia,katika,Lini,why now n.k, Albamu mbili, Above in Minute na Story of African Mob na mengine mengi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad