Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Rapper Future Ataka Kujiweka Kwa Mke wa Will Smith

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Wakiwa bado kwenye mzozo wa kimapenzi /Entanglement, #WillSmith na mke wake #JadaPinkett wamerudi kwenye headlines tena, wakati huu, ni kupitia insta story na tweet ya rapper #Future.

Hii ni kufuatia Jana shabiki mmoja kumuuliza Future ikiwa angependa kuwa na urafiki na Will Smith, ambapo rapper huyo bila kuchelewa kupitia insta story yake na twitter alijibu kuwa "afadhali kuwa rafiki wa Jada." (mke wa illsmith) huku ako mtag Jada.

Kulingana na ripoti za mitandao ya kijamii, MTO iligundua kuwa baada ya jibu hio Jada ilianza kumfollow Future jana, ambapo Watu walianza kuunganisha doti kuwa huenda wwili hawa wakawa katika hali ya kuanzisha mahusiano, jambo lililofanya kuamua kum Unfollow rapper huyo asubuhi ya leo.
Utakumbuka hivi karibuni mwimbaji #augustalsina pia amewahi kukiri kuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzibna mwanadada huyo ambae ni mama wa watoto wa 2 Jaden & Willow Simth.

✍🏾@keviiiy.iam


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments