Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mashabiki wa Wizkid Wavunja Geti O2 Arena na Kuingia Ndani ya Onyesho Lake

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Mashabiki wa Muimbaji wa Nigeria Wizkid wameingia kwa nguvu katika uwanja wa O2 Arena Jumapili usiku, na kutazama onyesho lake.

Video iliyotumwa kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha msururu wa watu wakivuka uzio wa usalama na kuingia kwa nguvu ndani ya tamasha lake la muziki

Wizkid ambaye alishiriki katika densi ya Drake iliyovuma na kuwa namba moja -One Dance, anacheza kwa siku tatu mjini London.

Msemaji wa O2 Arena alisema "kuvunja uzio wa usalama katika lango la arena kulitokea" na "mashabiki wengi waliokuwa kwenye msururu wa kuingia uwanjani waliweza kuingia ndani".

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments