Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Shamsa Ford Afunguka "Mwanaume Akinitongoza Kinachofuata ni Kumuomba Hela Mambo ya Baby Umeamkaje Sitaki"


Mwanamama kunako Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kwamba inapotokea akatongozwa saa mbili asubuhi, basi kinachofuata saa tatu kasoro ni kuomba.

Shamsa anasema anafanya hivyo ili kumuona kama mwanaume huyo yupo siriaz au ni mtu wa aina gani.

HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL APP, DOWNLOAD HAPA UWE NAYO KWA SIMU YAKO..USIPITWEAnasema kila mwanamke anataka mwanaume wa kumhakikishia maisha ili inapotokea akawa na tatizo f’lani, basi awe na uhakika wa kumsaidia na mambo ya umeamkaje, umevaaje au umekula kwa upande wake hayana nafasi.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments