Wamarekani wapitia hali ngumu ya kiuchumi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mshauri wa ngazi ya juu kwenye ikulu ya Marekani Jumapili amekubali kufahamu matatizo  ya kiuchumi wanayopitia watu wa Marekani. 


Hayo ni kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa, akiongeza kwamba rais Joe Biden angali ana nafasi ya kutumia hifadhi ya ziada ya mafuta ya Marekani, ili kudhibiti bei za mafuta ambazo wenye magari wanalipia kwenye vituo vya kujazia.



Brian Deese ambaye ni mratibu wa baraza la kitaifa la uchumi wakati akizungumza na televisheni ya NBC kipindi cha Meet the Press amesema kwamba bila shaka kuna mfumuko wa bei unaoathiri mifuko pamoja na muonekano wa wamarekani.



Bei za bidhaa hapa Marekani zilipanda kwa asilimia 6.2 mwezi uliopita, likiwa ongezeko kubwa zaidi tangu mwaka 1990, kulingana na ripoti ya wizara ya kazi ya wiki iliyopita.



Ongezeko la bei za nishati na chakula limeathiri wanunuzi wengi wakati asilimia 70 ya mapato hapa Marekani ikisemekana kuenda kwenye bidhaa hizo muhimu. Deese wakati wa ripoti hiyo hakutoa suluhisho lolote la hivi karibuni. Lakini amesema kwamba wadadisi wanatarajia kwamba viwango vya mfumuko vitashuka kufikia mwaka ujao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad