Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Breaking News: Mchezaji Ibrahim AJIBU Anyakuliwa na Azam FC Mara tu Baada ya Simba Kutangaza Kumuacha

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Azam FC wamemtangaza Ibrahim Ajibu kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo ikiwa ni muda mfupi baada ya Simba kutangaza kuvunja mkataba wa mchezaji huyo.

Kupitia ukurasa wao rasmi wa klabu, Azam FC wameandika:

"#NewArrival...Tumeingia mkataba wa mwaka mmoja na kiungo mshambuliaji, Ibrahim Ajibu 'Cadabra'.

"Karibu Azam FC, fundi wa mpira! Ibrahim Ajibu"

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments