Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Haji Manara Afunguka Baada ya Yanga Kunyimwa Penati "Wachambuzi Yaani Kweli Hii Penati Wamenyuti Kama Hakuna Lililotokea ?"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Ameandika @hajismanara Sipati Picha hii Penati wangenyimwa Prisons au Makolo,Toka jana hadi Christmas inaingia story ingekuwa moja tu,,lakini kimyaaaaa Wachambuzi wa michongo,,,,wanajitia hawajaona kitu,,,

Kuna Mmoja hadi mida hii hata kupost matokeo anaona aibu,,( litakuwa lilibet kwa Diamond) halaf kesho na kesho kutwa Mbugila Mbugula hawa hawa wanataka tuwaelewe kwenye mpira huu huu ,na kujifanya wao ndio wanajua Soka kuliko hata Pele au Messi,,Gastadialo!!

Ipo hv,,unapoamua kujiita Mchambuzi lazma uwe fair ktk uchambuzi wako na hupaswi kuangalia maslahi yako au mapenzi yako ( tunaita kubalance tumbo na shobo) ,, Yes ,, kiukweli hii fani ya Uchambuzi wa Soka nchini imeharibiwa na watu wa hovyo hovyo ,ambao kwao wao njaa ndio inawafanya waamue la kuchambua,,,,,

Ukiacha uozo wa baadhi ya watu ktk football nchini,,,eneo lingine la hovyo zaidi ktk kudidimiza Soka letu la bongo ni hawa baadhi ya Wachambuzi,,,,,aidha hawajui au ni watu Corruption,,,, Yaani kweli hii Penati wamenyuti kama hakuna liliotokea ? Prisons au Team lao Gonjwa Gonjwa ingetokea wangenyimwa Penati kama hii,,,,Mtume Muhammad !! Wangetengeneza hadi Picha za Mnato za uongo uongo kuprove Upumbavu wao,,….MALAKA SUMMAK,,,,,,

Castoda Biate Mariego,,,,Nyemi Nyemi Wahed!!

Ok,, Nuneni hadi mpasuke,,Yanga ndio tumeshinda hvyo,,, Ndegelec …

Top on the Table ,,Ikikuuma kale kaa la Moto ni dawa 🤪🤪

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments