Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Waziri Ummy aagiza Mkuu wa shule kushushwa cheo.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE 
Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kumshusha cheo cha Ukuu wa shule, Mwl. Nicolous Magwendela aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Makazi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mkoani Tabora.
.
Waziri Ummy ametoa agizo hilo wakati wa ziara yake wilayani humo ambapo alipokea malalamiko mbalimbali kutoka kwa viongozi wa wilaya hiyo kuhusiana na mwalimu huyo na kuelekeza ufuatiliaji wa haraka.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments