Bibi Atamani Kuzaa Mtoto na 'Mjukuu Wake'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza (surrogacy pregnacy) na mume wake Quran McCain mwenye miaka 24 ambaye kiumri ni sawa ma mjukuu wake.
Wawili hao wanasema wamejaribu kutafuta mtoto kwa njia ya kawaida hawajafanikiwa hivyo wanaangalia mwanamke atakayekuwa tayari kufanya hivyo waingie mkataba kwenye suala hilo.

Pia wanasema familia yao inawasapoti kwa kiasi kikubwa katika uamuzi wao huo wa kutaka kuwa na mtoto.

Chery na Quran walikutana mwaka 2012 wakati wanafanyakazi pamoja na wamepishana miaka 37.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad