Harmonize Amtaka Ali Kiba Kutumbuiza Siku Atakayo Mchumbia Mpenzi Wake Briana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamuziki @harmonize_tz KondeBoy ametumia insta story yake kutuma maombi ya kumtakia mwanamuziki @officialalikiba kutumbuiza katika siku yake ya uchumba/ siku atakayo tangaza kumchumbia mpenzi wake mzungu raia wa Australia @briana__tz .


Harmonize ambae ameonekana kuvutiwa zaidi na wimbo wa UTU' ameshare swala hilo siku ya jana wakati akiwa mapumzikoni na mpenzi wake huyo, ambae siku chache nyuma alitangaza kuachana nae kabla ya kukanusha taarifa hizo baadae.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad