Kocha Simba Majanga Matupu..Afungiwa na Kutozwa Fine Kisa Kizima Hichi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kocha wa Simba SC, Pablo Franco Martin amefungiwa mechi tatu na Bodi ya Ligi na kutozwa faini ya Tsh. 500,000 kwa kosa la kupiga teke chombo cha kuhifadhia vinywaji baridi katika mchezo kati ya Mtibwa Sugar na Simba ambao ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
-
Pia kocha Pablo ametozwa faini ya Tsh. 2,000,000 kwa kosa la kukataa kuzungumza na wanahabari baada ya mchezo kati ya Mbeya City na Simba SC ambao Simba ilifungwa 1-0 na mchezo kati ya Kagera Sugar na Simba ambao Simba ilifungwa 1-0.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad