Ticker

6/recent/ticker-posts

Kufeli kwa Mange Kimambi App, umejifunza nini?Mimi nimejifunza kufanya mambo yako kimyakimya na kuhakikisha yanakuja public. Hii dunia tunaishi watu wa aina nyingi na sehemu kubwa tumezungukwa na haters.

Ushauri wa bure dada yangu fanya kazi yako vizuri ikikamilika itest vizuri kwa watu Wachache ndio weka public...Bado Mange Ana nafasi Mimi pia Nilikuwa mmoja wa wafuasi wake Wakubwa Kwenye app na nitaendelea akishakawa vizuri...

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments