Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Updates: Moto Wadhibitiwa Katika Bunge la Afrika Kusini

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Vikosi vya Zimamoto na Uokoaji Afrika Kusini vimesema vimefanikiwa kuudhibiti moto mkubwa ambao ulizuka katika Bunge la Afrika Kusini mjini Cape Town mapema leo leo Jumapili Januari 2, 2022 na kusababisha moshi mkubwa ambapo pia jengo zima lilikabiliwa na hatari ya kuteketea.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments