Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Sultan Aliyepinduliwa Zanzibar BADO Yupo, Anaishi Oman

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Sultan wa mwisho wa Zanzibar yaani Jamshid bin Abdullah aliyepinduliwa tarehe kama ya leo Januari 12, 1964, alikimbilia Uingereza akiwa na watu 61.

Serikali ya Uingereza ikampa nyumba huko Portsmouth na kiasi cha Fedha £100,000,pia kila mwezi akawa anapewa £1500.


Sasa ana umri wa miaka 92 na kwasasa anaishi Oman., Na leo kupitia vyombo vya habari ameshuhudia Wazanzibar wakiendelea kuyaenzi Mapinduzi hayo yaliyomtoa madarakani miaka 58 iliyopita.

TANGAZA BIASHARA YAKO NA SWAHILIFORUMS: TUCHEKI WHATSAPP 0712 058 619 AU 0766 081 920.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments