Wanafunzi 14 wa Shule ya Wasichana Mugoiri Girls Waliofukuzwa Kwa Kula Sana Warudishwa Shule

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wanafunzi 14 wa shule ya wasichana Mugoiri iliyoko Murang’a Kenya waliofukuzwa shule kwa madai ya kula mara mbili wataruhusiwa kurudi shule bila masharti yoyote. Wanafunzi hao walirejeshwa nyumbani Januari 19 na walitakiwa kurudi shule wakiwa na Ksh10,500 kila mmoja kama adhabu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad