Breaking News: Mbowe na Wenzake Wakutwa na Kesi ya Kujibu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu imemkuta na kesi ya kujibu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu katika mashitaka 5 kati ya 6 hivyo wanapaswa kuanza kujitetea.

Uamuzi huo umetolewa na Jaji Joachim Tiganga ambapo amesema Mahakama imepitia ushahidi wote wa Jamhuri wa Mashahidi 13 ambao umewafanya Washitakiwa wakutwe na kesi ya kujibu.

Hata hivyo Mahakama hiyo imemuachia huru Mshtakiwa wa kwanza baada ya kutokuwa na kesi ya kujibu katika shitaka la sita la kukutwa na sare na vifaa vya Jeshi licha ya kwamba atajitetea katika makosa mengine.

"Katika shitaka la 6 linalomkabili Mshtakiwa wa kwanza…. hajakutwa na kesi ya kujibu, hivyo katika kosa hilo yupo huru” ——— Jaji Tiganga.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad