Rais Samia "Jeshi Haliwezi Kufanya Mauaji Kisha Lijichunguze Lenyewe, Mauaji ya Mtwara Yachunguzwe na Kamati Huru"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo Maafisa wa Jeshi la Polisi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya Mfanyabiashara Mussa Hamisi

Rais amesema haiwezekani Jeshi kutuhumiwa kisha liunde Kamati ya kujichunguza lenyewe, hivyo amesema ameagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda Kamati nyingine kuchunguza tukio hilo

Amesema taarifa ya Kamati ya Polisi inayochunguza tukio hilo italinganishwa na taarifa ya Kamati Huru itakayoundwa na Waziri Mkuu

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad