Davido "Sema Unavyotaka Kuhusu Mimi Ila Usiwaguse Watoto Wangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nigerian super star @davido amepiga mkwara mzito kwa watu wanaopenda kuhusisha familia yake haswa watoto wake kwa kueleza kuwa ni heri kusema yeye lakini si kuwataja ama kuwahusisha watoto wake.

“Sema yote unayotaka kuhusu DAVIDO...lakini USIWATAJE WATOTO WANGU”

Ameandika msanij hiyo mwenye wafuasi wengi katika mitandao ya kijamii africa @davido kupitia ukurasa wake wa twitter.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad