Diamond "Naweza Kufanya Show ya Pamoja na Ali Kiba Sina Tatizo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Supastaa @diamondplatnumz kwenye mahojiano na Wasafi FM leo Machi 14, amefunguka kuwa anaweza kufanya show ya pamoja na Alikiba na alishawahi kuuomba uongozi wake.

Diamond amebainisha hayo kupitia kipindi cha The Switch ambapo amesema yeye hana noma na mtu.

"Nishapigia simu Menejimenti yake tukitaka tuandae show, nilishamwalika kwenye show zangu kabla hata ya Wasafi Festival, mimi sina noma yaani fresh tu" amesema Diamond.

Pia amefunguka kuwa kuna mawazo Watanzania tuyafute, ili uwe mkubwa lazima ugombane na mtu.

"Ila kuna mawazo ambayo Watanzania tunatakiwa tuyafute, ili wewe uonekane mkubwa lazima ugombane na mtu, mimi sina noma halafu kila mtu namuheshima kwa upande wake. Ila mtu akitaka kunivunjia heshima, usitake kunibadilisha, unitotoshe, hapo ndio sikubali, kila mtu achukue heshima yake" - Diamond Platnumz.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad