MSEMAJI wa Ruvu Shooting Masau Bwire Apata Ajali Dar es Salaam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MSEMAJI wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amepata ajali maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam leo Machi 3 mchana akiwa na gari yake aina ya Toyota Rav 4.
Akizungumza na Mwanaspoti, Bwire amesema, ajali hiyo imetokea mchana huu akiwa njiani kuelekea Mzizima.
''Nilikuwa natokea Ilala Boma nafika Buguruni nakutana na shida hiyo kusema ukweli huyo jamaa amenigonga, ila niko salama,'' anasema Bwire.
"Daladala imetaka kunipita basi nikamtizama kwenye kioo akaja akanivaa, sema gari ni ngumu ingekuwa gari nyepesi ingeharibika sana,"
Anasema kwa mbele na nyuma ya gari yake ndipo palipopata shida sana.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad