Will Smith Atangaza Kujiuzulu ‘The Academy’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Baada ya kumpiga Mtangazaji Chris Rock jukwaani katika Tuzo za Oscar weekend iliyopita, Mwigizaji Will Smith ametangaza kujiuzulu kutoka ‘The Academy of Motion Pictures Arts & Sciences” ambacho ndio Chuo kinachoandaa tuzo za filamu za Oscar.

“Ninajiuzulu uanachama katika Chuo cha Sanaa na Sayansi ya Picha na nitakubali matokeo yoyote ambayo bodi itaona yanafaa, mabadiliko huchukua muda na nimejitolea kufanya kazi ili kuhakikisha kwamba sitaruhusu tena vurugu kutokea”

Baada ya tukio zima katika Tuzo za Oscar jumapili iliyopita, Chuo hicho kilitangaza tarehe 30 March kwamba kimeanzisha kesi za kinidhamu dhidi ya Smith.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad