Pitso Mosimane Aitwa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Rais Adai ni Mtu Maalum

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika CAF na mmiliki wa klabu ya Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe, amesema yuko tayari kumlipa mshahara kocha Pitso Mosimane ikiwa ataifundisha timu ya taifa ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’


Pitso Mosimane hivi karibuni ameacha kazi kwenye klabu ya Al Ahly, baada ya kudumu kwa muda wa miaka miwili na kufanikiwa kushinda makombe mawili ya klabu bingwa barani Afrika, ligi kuu ya Misri na kombe la Super Cup Afrika, huku akiacha historia ya kucheza fainali tatu za ligi ya mabinga Afrika.


Akiwa kwenye kongamano la SAEditorsForum  nchini  Afrika Kusini alielezea hisia zake kwa kocha anayempenda na kunukuliwa, “Bila shaka kocha ninayempenda ni Pitso, nampenda sana Pitso na nitampenda daima, anasehemu maalum kwenye moyo wangu

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad