Ticker

6/recent/ticker-posts

Makongoro Nyerere "Nimenusurika Asante sana Rais Samia"


Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere amemshukuru Rais Samia kwa kumuacha aendelee kuhudumu katika mkoa huo.

Makongoro ameyasema hayo leo hii wakati wa zaiara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akikagua ujenzi wa miundombinu ya Shule ya Sekondari Matui Wilayani Kiteto.

“Rais (Samia Suluhu Hassan) amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa kwa nia njema, lakini mimi ndugu yenu nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea”

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments