Aliyetuhumiwa Kumuua Mama yake Akishirikiana na Waganga Aachiwa Huru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua Patricia Ibreack Paul (66) aliyekuwa Nesi mstaafu wa Hospitali ya KCMC

Uamuzi huo umetolewa leo, Agosti 19, 2022 baada ya upande wa Mashtaka kuwasilisha maombi ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo

Wendy pamoja na waganga wawili Februari 23, 2022 walifikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumuua Patricia kisha kuuzika Mwili kwenye shimo nje ya makazi yake.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad