Babu Tale Afunguka Mapya Kuhusu Rayvanny "Akifuata Utaratibu Atakuwa Huru"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mapya kuhusu mwanamuziki @rayvanny ambae siku za hivi karibuni aliweka wazi kuwa msanii huru, na kuwa chini ya usimamizi wa record label yake ya Next Level Music ,sasa imewekwa wazi kuwa bado msanii huyo hajakamilisha taratibu zote za kujiondoa ndani ya WcB Wasafi.

Taarifa hizi zinajiri baada ya moja ya viongozi wa record label ya WcB Wasafi @babutale kufunguka kupitia kipindi cha Big Sunday Live ya Wasafi tv kuwa bado catalogues zote za Rayvanny zipo chini ya Wasafi na rayvanny atakua msanii huru akimaliza taratibu zote za kununua hisa zake pale WCB.

"@rayvanny Akikamilisha Utaratibu Rasmi Anakuwa Msanii Huru" - @babutale

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad