George Simbachawene "Kweli ni Mtoto Wangu Amewakosea Heshima Polisi Ashughulikiwe Kisheria"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene amesema ameiona clip inayozunguka mitandaoni ikimuonesha Kijana akiwajibu vibaya Polisi baada ya kutenda kosa la usalama barabarani ambapo amekiri kuwa huyo ni Kijana wake lakini ametaka ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria bila huruma.

Kwenye clip huyo Kijana huyo licha ya kutenda kosa la usalama barabarani ikiwemo la kuyagonga magari ya Watu, anasikika akitoa kauli mbaya kwa Askari huku akijinasibu kuwa yeye ni Mtoto wa Waziri Simbachawene na hakuna wa kumfanya chochote.

Simbachawene amesema “Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii, nakiri kuwa huyo ni Kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na ana Familia yake, nimemuagiza Mkuu wa Kituo kwasababu amekosa adabu kwa Jeshi la Polisi na ametenda kosa la usalama barabarani, ashughulikiwe bila huruma kwa mujibu wa sheria”

“Binafsi naomba radhi sana kwa walioathirika na mkasa huo lakini pia kwa Jeshi la Polisi na Watanzania wote poleni kwa usumbufu wowote mlioupata”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad