HATIMAYE..Billnas, Nandy Rasmi Sasa ni Wazazi..Wataja Jinsi ya Mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Rapa Billnas amethibitisha kuwa mkewe ambaye ni mwimbaji mahiri wa muziki wa Bongo fleva Nandy amefanikiwa kujifungua mtoto wa kike akiwa salama na mwenye afya njema.


Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Billnas amechapisha taarifa hiyo iliyoambatana na ujumbe mrefu akithibitisha kujifungua kwa mkewe, ukiambatana na shukurani zake za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa kumuwezesha kumpokea mtoto wao wa kwanza.


“Ahsante Mungu Kwa zawadi na Baraka…kila iitwapo leo!! Kwangu Mimi 2022 ni mwaka wa kipekee sana…nina kila sababu ya kushukuru na Kutoa Sadaka, Mungu wetu ni mwema Sana, Pili kipekee Niseme Ahsante mke wangu kipenzi Nandy kwa kuniletea Mrembo na Rafiki.


Marekani yasimama ‘Made in Lagos’ ya Wizkid


Billnas na mkewe Nandy katika tafrija ya ndoa yao Julai 16, 2022. Picha na Instagram.

Pacha wa Chris Brown ‘apiga pesa ndefu’

Haikuwa kazi rahisi umenionesha wewe ni shujaa kiasi gani kuanzia Mtoto akiwa tumboni mpaka muda unajifungua umepigana sana nimejionea namna gani mtu anaweza ku risk kupoteza uhai wake wakati wa kujifungua.


Hii imefanya nizidi kukupenda, Kukuheshimu na kukupa nafasi ya pekee katika maisha yangu, Hayo yote hayatoshi lakini kila siku nakuombea Kwa Mungu akulinde mke wangu na nitakupa furaha na kufanya maisha yako yawe ya Amani kwani Unastahili Mengi Mazuri.


Sina zawadi kubwa itakayoweza lingana na upendo wangu kwako zaidi ya kuzidisha upendo kila iitwapo leo, nikuhakikishe uko Mikono Salama.


Tamasha ‘International Afrika Epo Festival’ kufanyika Ujerumani


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad